Monday, 24 August 2015

Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto  Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb) akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, jijini Dar es Dar es salaam kabla ya kutunuku vyeti wasichana 22 waliohitimu mafunzo ya mbinu na stadi za ujasiriamali na ususi wa nywele, tarehe 20/08/2015
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto  Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb) akihutubia wasichana waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, na ususi wa nywele kwenye mahafali ya yaliyofanyika katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es Dar es salaam tarehe 20/08/2015.
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto  Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno fupi kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo hayo katika chuo Kikuu Huria cha Tanzania, jijini Dar es salaam tarehe 20/08/2015
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto  Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb, aliyeko katikati) pamoja na Uongozi wa juu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na wasichana waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali na urembo katika Chuo hicho jijini Dar es Dar es salaam tarehe 20/08/2015
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto  Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb, aliyeko katikati), viongozi wa juu wa Chuo Kikuu Huria chaTanzania na wawakilishi wa asasi ya ‘Nafasi Opportunity Society’ wakiwa kwenye picha ya pamoja na wasichana waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es Dar es salaam tarehe 20/08/2015.

0 comments:

Post a Comment