Naibu Waziri wa
Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto (Mhe. Dkt
Pindi Chana (Mb) akifungua rasmi Kongamano la siku mbili la wadau wa familia
wanaokutana kupokea matokeo ya utafiti wa malezi na makuzi ya watoto katika familia
lililofanyika hotel Protea jijini Dar es salaam, tarehe 26/8/2015.
Kauli mbiu ni ‘FAMILIA BORA TAIFA IMARA
|
0 comments:
Post a Comment