Bodi ya uratibu wamashirika yasiyo ya kiserikali imekutana na wadau mbalimbali wa mashirika yasiyo ya kiserikali Mkoani Tabora,Akizungumza Katibu wa Bodi hiyo Bwana Marcel Katemba amewataka mashirika hayo kufanya kazi kwa pamoja na kushirikiana wao kwa wao. Pia Katibu aliiomba baadhi ya mashirika Ambayo hayajafikisha taarifa zake na kulipia ada kwa Msajili waweze kupeleka taarifa mapema iwezekanavyo.
Bwana Marcel Katemba (kulia) akizungumza na wadau akiwa pamoja na mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa mashirika yasiyo ya kiserikali |
Bwana Baraka ambaye ni sekretarieti wa Bodi ya uratibu wa Mashirika yasyo ya kiserikali akitoa ufafanuzi wa maswala mbali mbali yanayohusu sheria |
Wadau mbalimbali walioko mkoani Tabora wakisikiliza kwamakini wakati katibu wa Bodi ya Uratibu wa mashirika yasiyo ya kiserikali |
0 comments:
Post a Comment