Ofisi za Youth and Women Organization zilizopo mkoani Tabora walipo pata ugeni kutoka katika Bodi Ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali mapema leo mchana |
Msemaji wa Youth and Women Organization alipokua akititoa taarifa fupi kuhusu shirika lake mbele ya wajumbe wanaoratibu mashirika yasiyo yakiserikali hapa nchini |
Bwana Mbilinyi (Sekretarieti) akitoka katika ofisi za Youth and Women Organization mara baada ya ukaguzi kufanika katika shirika hilo |
0 comments:
Post a Comment