Tuesday, 28 July 2015

Bibi Rukia Masasi (katikati) pamoja na makamu mwenyekiti Bibi  Mary Luwilo (kushoto)  na Katibu wa  Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ( Bw. Marcel Katemba) wakiwa katika  ufunguzi wa kikao kinacho fanyika katika Ukumbi wa Morovian hapa Mkoani Tabora
Bwana Djax Biria (mjumbe) pamoja na Bibi Happy Msimbe(Sekretarieti) wakifuatilia kwa makini kikao cha 36 cha Bodi ya uratibu  wa mashirika yasiyo ya kiserikali hapa mkoani Tabora



Bib Hidaya Mohamed (Mjumbe)akifuatilia kwa makini kikao cha 36 kinachofanyika hapa mkoani Tabora  

0 comments:

Post a Comment