WIZARA YA AFYA
MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTO
TANGAZO
WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA
JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTO INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KWAMBA
IMEANZA KUPOKEA MAOMBI YA
WANAOTAKA KUJIUNGA NA MASOMO KATIKA VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII
(CDTIs) NA MAENDELEO YA JAMII
UFUNDI (CDTTIs).
VYUO VINAVYOTOA KOZI YA
MAENDELEO YA JAMII NI BUHARE, MLALE, MONDULI, RUAHA, RUNGEMBA NA UYOLE.
VYUO VINAVYOTOA KOZI YA
MAENDELEOYA JAMII UFUNDI (CIVIL ENGINEERING) NI MABUGHAI NA MISUNGWI.
SIFA ZA KUJIUNGA
A. VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII
1. NGAZI YA CHETI CHA AWALI –NTA LEVEL 4:
Muombaji awe
amehitimu kidato cha nne na ana ufaulu ufaulu wa angalau wa alama D katika
masomo 4
Au
Awe
na Cheti cha VETA (NVA Level 3)
2. NGAZI YA CHETI (ASTASHAHADA) –NTA LEVEL
5:
Muombaji awe amehitimu NTA LEVEL 4 kwa
ufaulu wa daraja la PASS katika Fani ya Maendeleo ya Jamii au
inayoshabihiana na Maendeleo ya Jamii
Au
Awe amehitimu kidato
cha sita kwa ufaulu wa angalau alama ya PRINCIPAL 1
3. NGAZI YA DIPLOMA
(STASHAHADA)- NTALEVEL6:
Muombaji awe amehitimu Astashahada (NTA
level 5 ) kwa ufaulu wa angalau daraja la PASS katika fani ya
Maendeleo ya Jamii au inayoshabihiana na
Maendeleo ya Jamii
B. VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII NA UFUNDI
(CIVIL ENGINEERING)
1. NGAZI YA CHETI CHA AWALI –NTA LEVEL 4:
Muombaji awe amehitimu kidato cha nne na
anaufaulu ufaulu walau wa alama D katika masomo 4 mawili kati ya
hayo yatokane na FIZIKIA au KEMIA au
HISABATI au KINGEREZA.
Au
Awe amemaliza kidato cha nne kwa ufaulu wa
alama D katika masomo 4 na Cheti cha VETA (NVA Level 3)
2. NGAZI YA CHETI (ASTASHAHADA) –NTA LEVEL
5:
Muombaji awe amehitimu NTA LEVEL 4 kwa
ufaulu wa daraja la PASS katika Fani ya Maendeleo ya Jamii na
Ufundi (Civil Engineering) au
inayaoshabihiana nayo.
AU
Awe amehitimu kidato cha sita kwa ufaulu wa
angalau alama za PRINCIPAL 1 na SUBSIDIARY 1 katika
michepuo ya PCM au PGM au PCB au EGM.
3. NGAZI YA DIPLOMA (STASHAHADA)-
NTALEVEL6:
Muombaji awe amehitimu Astashahada (NTA
level 5 ) kwa ufaulu wa angalau daraja la PASS katika fani
Maendeleo ya Jamii na Ufundi (Civil
Engineering) au inayaoshabihiana nayo.
Kwa
maelezo zaidi wasiliana na wakuu wa vyuo kupitia namba zifuatazo
Buhare-0752 760981/0766 844264
Mlale- 0712 719532
Uyole- 0754 576455 /0755 047572
Ruaha- 0658 204835
Rungemba-0763 375625/ 0625 724507
Monduli- 0754 466803
Missungwi- 0743 520523/0766 004212
Mabughai- 0784 647063/ 0755 322454
NB: Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe
20/08/2017
0 comments:
Post a Comment