Monday, 21 November 2016

Wakili Nyinula Watson Mwakyusa kushoto toka TAWLA na Msajili wa NGOs Bwana Marcel Katemba kutoka Wizara ya Afya, Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakiendesha kikao cha ushirikiano baina ya NGOs na Wizara hiyo
Wadau mbalimbali kutoka Mashirika yasiyo ya Kiserikali wakipitia nyaraka mbalimbali wakati wa Mkutano wa Ushirikiano baina ya Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto na Mashirika yasiyo ya kiserikali leo jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya Washiriki kutoka moja ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali wakifuatilia jambo kwa makini wakati wa Mkutano wa  Ushirikiano baina ya Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto na Mashirika yasiyo ya kiserikali leo jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment