Monday, 3 October 2016

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (Mb.) akiongea na wanawake wajasiriamali, alipofanya ziara ya kushitukiza katika soko lililoko Stendi ya Kabwe Jijini Mbeya ili kufuatilia utekelezaji wa Halmashauri kutenga asilimia 5 ya mapato yake ya ndani kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake. (30/9/2016)
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (Mb.) akikagua usafi wa eneo la soko la wanawake wajasiriamali, alipofanya ziara ya kushitukiza katika soko lililoko Stendi ya Kabwe Jijini Mbeya tarehe 30/9/2016
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (Mb.) akiongea na wanawake wajasiriamali, alipofanya ziara ya kushitukiza katika soko lililoko Stendi ya Kabwe Jijini Mbeya ili kufuatilia utekelezaji wa Halmashauri kutenga asilimia 5 ya mapato yake ya ndani kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake. (30/9/2016)

0 comments:

Post a Comment