 |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Bibi S.Nkinga akipokea vifaa vya Baraza la
taifa la Mashirika yasiyo yakiserikali
kutoka kwa Kaimu mkurugenzi mkuu wa GEPF ,Dar es salaam Tarehe 1/6/2016
|
 |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Bibi S.Nkinga akipokea vifaa vya Baraza la
taifa la Mashirika yasiyo yakiserikali
kutoka kwa Kaimu mkurugenzi mkuu wa GEPF ,Dar es salaam Tarehe 1/6/2016 |
 |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Bibi S.Nkinga akikabidhi vifaa vya Baraza la
taifa la Mashirika yasiyo yakiserikali
kwa Bwana, Djax Diria ambae ni Mjumbe wa Bodi anae wakilisha Baraza la Taifa,Dar
es salaam Tarehe 1/6/2016
|
 |
Mwenyekiti
wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bibi Rukia Masasi
akitoa shukrani mara baada ya kukabidhiwavifaa vya Baraza la taifa la
Mashirika yasiyo yakiserikali,Dar es salaam Tarehe 1/6/2016
|
Kutoka kulia Kaimu Mkurugenzi wa Mashirika
yasiyo yakiserikali Bwana Baraka Leonard pamoja na Bwana Aloys Ntukamazina
ambaye ni Meneja masoko wa GEPF
wakimsikiliza Mwenyekiti
wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bibi Rukia Masasi
akitoa shukrani mara baada ya kukabidhiwavifaa vya Baraza la taifa la
Mashirika yasiyo yakiserikali,Dar es salaam Tarehe 1/6/2016
0 comments:
Post a Comment