Tuesday, 8 March 2016

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy
A. Mwalimu akitoa hotuba mbele ya wakina mama walio hudhuria  kwenye
hitimisho la siku ya wanawake Duniani yaliyo fanyika leo  Jijini
Daressalaam,tarehe8/3/2006
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy
A. Mwalimu akitoa tunzo maalumu mbele ya wakina mama walio hudhuria
kwenye hitimisho la siku ya wanawake Duniani yaliyo fanyika leo
Jijini Daressalaam,tarehe8/3/2016
.Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy
A. Mwalimu akitoa Hundi ya milioni kumi iliyo tolewa katika kikundi
cha mama lishe  kwenye hitimisho la siku ya wanawake Duniani yaliyo
fanyika leo  Jijini Daressalaam,tarehe8/3/2016
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy
A. Mwalimu akipitia baadhi ya maonyesho ya ujasiliamali kwenye
hitimisho la siku ya wanawake Duniani yaliyo fanyika leo  Jijini
Daressalaam,tarehe8/3/2016

0 comments:

Post a Comment