Wednesday, 27 January 2016

Mwenyekiti wa Bodi  ya uratibu wa Mashirika yasiyo ya kiserikali Bibi, Rukia Masasi kushoto pamoja na Bwana,Marcel S.Katemba Kulia (katibu) katika mkutano  wa 38 unaofanyika Mkoani Singinda mapema hii leo
Bwana.Baraka Leonard (Secretarieti) Akifuatilia kwa makini  kikao kinachoendelea hivi sasa hapa mkoani Singida kwenye ukumbi wa chuo cha maendeleo ya wananchi
Dkt.Aisha Kigoda Kushoto(mjumbe) pamoja na Bwana Ismail A.Suleimani wakifuatilia kikao kinachoendelea hapa Mkoani Singida katika ukumbi wa chuo cha maendeleo ya wananchi
Bibi Happy Msimbe (sekretarieti) pamoja  na Bw. Rweyemamu wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokua yakitolewa na katibu  wa Bodi ya uratibu wa mashirika yasiyo ya Kiserikali
Bwana Ismail A.Suleiman(mjumbe) akitoa taarifa ya Baraza la Taifa la NGOs

0 comments:

Post a Comment