Wednesday, 2 December 2015

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bibi Sihaba Nkinga akifungua  Tamasha la 13 la AZAKi lililoandaliwa na shirika la the Foundation For Civil Society na kufanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es salaam tarehe 1/12/2015
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bibi Sihaba Nkinga (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika Tamasha la 13 la AZAKi lililoandaliwa na shirika la the Foundation For Civil Society na kufanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es salaam tarehe 1/12/2015. Wengine ni Bw. Julius Mbilinyi Kaimu Mkurugenzi wa Uratibu wa NGOs (wa kwanza kushoto), Bibi Stigmata Tenga Rais wa Shirika la the Foundation For Civil Society (wa tatu kutoka kushoto) na Bw. Alfred Myenzi Mkurugenzi wa shirika la HAKI ARDHI (wa mwisho kutoka kushoto).

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bibi Sihaba Nkinga (mwenye suti ya blue) akiwa akiwa na baadhi ya wadau wa waliohudhuria  Tamasha la 13 la AZAKi lililoandaliwa na shirika la the Foundation For Civil Society na kufanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es salaam tarehe 1/12/2015.

0 comments:

Post a Comment