Thursday, 17 September 2015

Mwenyekiti wa Bodi  ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bibi Rukia Masasi  alipokua akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za mkuu wa mkoa Kigoma

Makamu Mwenyekiti wa Bodi  ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bibi, Mary Luwilo alipokua akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za mkuu wa mkoa Kigoma
Katibu tawala wa Mkoa wa Kigoma Bwana, Ndunguru akiongea na  wajumbe wa Bodi ya Uratibu Mashirika yasiyo ya Kiserikali mapema Asubuhi ya Leo Kataika Ofisi za Mkuu wa Mkoa Kigoma
Katibu tawala wa Mkoa wa Kigoma Bwana, Ndunguru(Katikati),Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) Bibi,Rukia Masasi,(Kulia), katibu Marcel Katemba pamoja na wajumbe kwenye picha ya pamoja katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa Kigoma

0 comments:

Post a Comment