Wajumbe wa Bodi ya mashirika yasiyo yakiserikalia walipokua kwenye mkutano wa pamoja na wadau mkoani Kigoma Tarehe 17.9.2015 |
Bwana Baraka ambaye ni sekretarieti wa Bodi ya uratibu wa Mashirika yasiyo ya kiserikali akiandika baadhi ya maswali yaliyoulizwa na Baadhi wadau yanayohusu sheria kwenye ukumbi wa mkuu wa mkoa Kigoma |
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bibi, Mary Luwilo alipokua akizungumza na wadau walioko mkoa wa Kigoma |
Bwana Baraka ambaye ni sekretarieti wa Bodi ya uratibu wa Mashirika yasyo ya kiserikali akitoa ufafanuzi wa maswala mbali mbali yanayohusu sheria |
Bibi Idda Kombe kushoto (Sekretariate) Pamoja na Bwana Victa (kulia) walipokua kwenye kwenye mkutano na wadau Mkoani Kigoma |
Mdau wa Shirika lisilo la kiserikali Mkoani Kigoma Akiuliza Swali kwa Wajumbe wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali |
0 comments:
Post a Comment