Thursday, 14 May 2015

Mjumbe wa bodi  ya uratibu wa mashirika yasio yakiserikali Ndugu Baraka akitoa maelezo mafupi juu ya baadhi ya mashirka yasio yakiserikali yanavyotumia vibaya usajili wao
Wajumbe wa Bodi ya uratibu wa mashirika yasiyo yakiserikali wakimsikiliza mmoja wa wajumbe akifafanua vizuri juu ya sheria za usajili 
Mjumbe wa Bodi ya uratibu wa mashirika yasiyo yakiserikali akiongea na wadau wa Mkoa wa Manyara
Wadau wa  mashirika yasio ya kiserikali wakisikiliza kwa makini katika kikao kinacho endelea hapa mkoani Manyara
Mdau wa shirika lisilo lakiserikali  akiuliza swali katika Bodi ya uratibu wa mashirika yasiyo yakiserikali hapa mkoani manyara

0 comments:

Post a Comment