Bodi ya uratibu wa NGO mapema leo asubuhi imeenza kufanya kikako chake cha 35 mkoani Manyara,ambapo
mkutano huo umeudhuriwa na wajumbe kutoka mikoa mbali
mbali nchini Tanzania.
 |
Mwenyekiti wa Bodi kuu ya uratibu wa Mashirika yasiyo ya kiserikali Bibi, Rukia Masasi kushoto pamoja na Bwna,Marcel S.Katemba Kulia ambaye ni Katibu wa Bodi kuu ya uratibu katika mkutano wa 35 unaofanyika Mkoani Manyara hii leo |
 |
Wajumbe wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika yasiyo ya kiserikali wakifwatilia kwa umakini katika kikao hichi cha 35 kinacho fanyika Mkoani Manyara. |
 |
Ndugu.Baraka Leonard (mjumbe) Akifwatilia kwa makini kikao kinachoendelea hivi sasa hapa Mkoni Manyara |
 |
Dkt.Aisha Kigoda Kulia pamoja na Bwana Ismail A.Suleimani wakifwatilia kikao hichi kinachoendelea hapa Mkoani Manyara |
 |
Bibi. Tausi Mattaba Kulia pamoja na Bibi Idda Kombe wakifwatilia kwa
makini kikao cha 35 cha Bodi ya Uratibu wa Mashirika yasiyo ya
kiserikali |
 |
Bibi Mary F. luwilo ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Bodi ya Mashirika yasio ya kiserikali akifwatilia kwamakini taarifa iliyoandikwa kwenye faili. |
0 comments:
Post a Comment