Tuesday, 31 May 2016

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Bibi S.Nkinga akifungua kongamano la  wadau  wanao jadili uwezeshaji wa  Mpango  Kazi  wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania unaofanyika  Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi ,Dar es salaam Tarehe 30/5/2016
Kaimu Muwakilishi  wa UNCEF Bwana, Paul Edward akitoa hotuba fupi  kwenye  kongamano la  wadau  wanao jadili uwezeshaji wa  Mpango  Kazi  wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania unaofanyika  Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi ,Dar es salaam Tarehe 30/5/2016


Muwakilishi  wa UN WOMEN BIbi, Anna collins akitoa nasaha kwenye  kongamano la  wadau  wanao jadili uwezeshaji wa  Mpango  Kazi  wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania unaofanyika  Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi ,Dar es salaam Tarehe 30/5/2016

Baadhi ya washiriki wa Kongamano   la  uwezeshaji wa  Mpango  Kazi  wa Kitaifa wa  Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania Wadau wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii ,Jinsia Wazee na Watoto Bibi S.Nkinga  unaofanyika  Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza  Kunduchi ,Dar es salaam tarehe 30/5/2016
Katikati  ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Bibi S.Nkinga akiwa kwenye  picha ya pamoja  na viongozi/ wawakilishi  wa taasisi mbali mbali walio shiriki  kongamano  la  uwezeshaji wa  Mpango  Kazi  wa Kitaifa wa  Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania unaofanyika  Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi ,Dar es salaam tarehe 30/5/2016

0 comments:

Post a Comment