TAARIFA
KWA UMMA
KUFUTWA USAJILI KWA MASHIRIKA YASIYO YA
KISERIKALI (109) KWA KUJIENDESHA KINYUME CHA SHERIA KUANZIA TAREHE 30/03/2016
Msajili wa Mashirika Yasiyo
ya Kiserikali amefuta usajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiesrikali (NGOs) 109 kwa
kuendesha shughuli zao kinyume cha Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka 2002 kama
ilivyorekebishwa mwaka 2005. Mashirika hayo ni yale ambayo hayajawasilisha
taarifa za mwaka kwa kipindi cha miaka miwili pasipo kutoa sababu za msingi, kutolipa
ada ya mwaka au kuendesha shughuli za NGOs bila kusajiliwa chini ya Sheria ya
NGOs.
Kwa taarifa hii, Mashirika yaliyotajawa
hapa chini yamefutiwa usajili na yataarifiwa kusitisha shughuli zao kuanzia
tarehe ya tangazo hili (30/03/2016). Baada ya kipindi hicho, Msajili wa NGOs
atayachukulia hatua stahiki Mashirika ambayo yatakaidi amri hii na kuendelea na
shughuli za NGOs kinyume na Sheria husika.
MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (109) YALIYOFUTIWA USAJILI KUANZIA
TAREHE 30/3/2016 NI KAMA IFUATAVYO:
|
1.
THE MEDICAL WOMEN ASSOCIATION OF TANZANIA (MEWATA)
2.
AFRICAN GENDER AND GOOD GOVERNANCE ALLIANCE
3.
AFRICAN WILDLIFE FOUNDATION
4.
AGENDA FOR ENVIRONMENTAL AND SUSTAINABLE DEVELOPMENT
5.
ANTIOKIA MISSION INTERGRATED SOCIAL DEVELOPMENT
6.
BUSEGWE DEVELOPMENT ASSOCIATION
7.
BUTIAMA DEVELOPMENT ASSOCIATION
8.
CARE FOR THE CHILD (CFC)
9.
CHAKUFAA DEVELOPMENT FOUNDATION
10.
CHAMA CHA KUSAIDIA WATOTO YATIMA MAKAMBAKO
11.
COMFORT WOMEN RELIEF FOUNDATION
12.
COMMUNITY AGRICULTURAL ACTION SERVICES CENTRE
13.
COMMUNITY SERVICES SUPPORT OF TANZANIA (COSESU-T)
14.
DAUGHTERS OF ZION FOUNDATION LTD
15.
DEFENCE OF HUMAN RIGHTS CITIZEN RIGHTS
16.
DEVELOPERS OF SUSTAINABLE COMMUNITY BASED ACTIVITIES (DESCOBA)
17.
DIANA WOMEN EMPOWERMENT ORGANIZATION
18.
EDNA DEVELOPMENT FOUNDATION
19.
EMPOWERMENT AGAINST POVERTY AND HIV/AIDS
20.
EMPOWERMENT FOR THE DISADVANTAGED COMMUNITY (EDC)
21.
ENVIRONMENTAL MANAGEMENT AND NUTRITIONAL SERVICES AGENCY
(EMA-NUSA)
22.
GLOBAL VISION TANZANIA (GVT)
23.
GRASSROOTS INITIATIVE FOR YOUTH AND ELDERLY DEVELOPMENT
ORGANIZATION (GIYEDO)
24.
HOPE MISSION OF DEVELOPMENT FOR THE DISABLED (HOMIDED)
25.
HURUMA CHILD MINISTRY CENTRE
26.
HURUMA REHABILITATION PROGRAMME
27.
IMANI WOMEN ECONOMIC EMPOWERMENT ASSOCIATION (IWEA)
28.
INTERNATIONAL MEDICAL CORPS
29.
IZAAZ MEDICAL PROJECT
30.
JUMUIYA EDUCATION BAGAMOYO (JEBA)
31.
JUNIOR ACHIEVEMENT OF TANZANIA
32.
KAMACHUMU IN NGEMU AGENDA (KINGA)
33.
KILIMO HAI TANZANIA (KIHATA)
34.
KUZA EDUCATION DEVELOPMENT
35.
MANDATE AFRICA FOUNDATION
36.
MASASI FARMERS ADVOCACY ASSOCIATION (MAFADA)
37.
MAZINGIRA INSTITUTE OF TANZANIA (MAI-TANZANIA)
38.
SUMBAWANGA ESCARPMENT ENVIRONMENTAL CONSERVATION ORGANIZATION
(SEECO)
39.
MFUKO WA MAENDELEO YA WAISLAM MKOA WA RUVUMA
40.
MKONGO MLOKA DEVELOPMENT ASSOCIATION
41.
MOROGORO ENVIRONMENTAL CONSERVATION ACTION GROUP
42.
MUUNGANO DEVELOPMENT ASSOCIATION (MUDEA)
43.
MWAKALELI COMMUNITYDEVELOPMENT ORGANIZATION (MWACODO)
44.
MWALIMU NYERERE UWC FOR SELF RELIANCE
45.
MWANANYAMALA WOMEN LDEVELOPMENT GROUP (MWAWODE)
46.
NATIONAL LIFE DEVELOPMENT ASSOCIATION
47.
NJOMBE DEVELOPMENT ORGANIZATION (NDO)
48.
NORWEGIAN PEOPLE AID
49.
OLOF PALME ORPHANS CENTRE
50.
DEVELOPMENT AGENCY PROBATION TIME RESEARCH
51.
PANGOLIN ELITE SPORTS FOUNDATION
52.
PARTGAGE TANZANIA
53.
PERIPHERY AREAS DEVELOPMENT ASSOCIATION (PADA)
54.
POVERTY ALLEVIATION AND AGRICULTURAL DEVELOPMENT (PADEFO)
55.
POVERTY FIGHTERS AND CHARITABLE GROUP
56.
POVERTY FIGHTERS AND DEVELOPMENT SOCIETY OF TANZANIA (POFIDESO)
57.
PRICESS AGNES FOUNDATION
58.
PROGRESS ASSOCIATION TANZANIA (PATA)
59.
PROMOTION OF FARMING AND ORPHANS EDUCATION IN TANZANIA (PROFOET)
60.
RESTE YOUTH TRAINING TRUST FUND
61.
RIDHIKA SHIRIKA LA ULINZI NA MAZINGIRA
62.
RURAL ACCESS TECHNOLOGY INORMATION AND INSTITUTIONAL SERVICES
(RATHS)
63.
RURAL FAMILY LIFE PLANNING ASSOCIATION
64.
RURAL INITIATIVES FOR DEVELOPMENT OF TANZANIA - RIDE(T)
65.
RURAL ORIENTED SUSTAINABLE DEVELOPMENT ORGANIZATION (ROSDO)
66.
RURAL WOMEN DEVELOPMENT ASSOCIATION
67.
SAMORSES EDUCATION FOUNDATION
68.
SANTA MERINA EDUCATION FOUNDATION
69.
SAVE LIFE ASSOCIATION
70.
SHINYANGA FOUNDATION FUND (SFF)
71.
SOCIETY FOR RURAL DEVELOPMENT INITIATIVES (SRDF)
72.
SOLIDARITY WOMEN GROUP (SWG)
73.
SOLUTION AND OPPORTUNITIES FOR DISADVANTAGED IN AFRICA (SODA)
74.
SOUTH DEVELOPMENT IN TANZANIA (YODIT)
75.
SUSTAINABLE INTERGRATED FARMING AND HEALTH IMPROVEMENT
76.
TAMADA
77.
TANZANIA ACTION FOR PASTORAL EDUCATION ADVOCACY (TACEA)
78.
TANZANIA ASSOCIATION OF ENVIRONMENTAL ENGINEERS (TAEES)
79.
TANZANIA DEVELOPMENT AND AIDS
PREVENTION (TADEPA)
80.
TANZANIA GIRL'S EMPOWERMENT (TAGE)
81.
TANZANIA HURUMA AIDS ORGANIZATION (THAO)
82.
TANZANIA INITIATIVES FOR POVERTY ALLEVIATION (TIPA)
83.
TANZANIA JOURNALIST ASSOCIATION (TAJA)
84.
TANZANIA MANGROVE PROTECTION ASSOCIATION (TAMPA)
85.
TANZANIA MARGINALIZED AREAS COMMUNITY SERVICES FOUNDATION
86.
TANZANIA ROAD ASSOCIATION (TRA)
87.
TANZANIA SOCIETY FOR THE BLIND (TASODEB)
88.
TANZANIA SUPPORT AND TRAINING YOUTH AND WIDOWS ASSOCIATION
89.
TANZANIA TENANTS ASSOCIATION
90.
TANZANIA YOUTH MUSLIM ASSOCIATION (TAYMA)
91.
TARIME – SIRARI GROUP (TARSI)
92.
TAX SERVICES TANZANIA
93.
TECHNOWLEDGE TANZANIA (TKTZ)
94.
TELECOMS AND ELECTRONICS TECHNICIANS ASSOCIATION (TETA)
95.
TEMEKE DISTRICT YOUTH FOUNDATION (TEYOFO)
96.
THE HUMAN DEVELOPMENT PROJECTS AND TANZANIA
97.
NAMTUMBO NETWORK OF CIVIL SOCIETY (NANECISO)
98.
THE SURVIVAL AFRICA TRUST (SAT)
99.
THE TANZANIA HERALDS YOUTH SERVICES (THEYS)
100.
THE VOICE OF THE AIDS AND ORPHANS (VOTAO)
101.
THE WOMEN WIDOW CHILDREN AND FISHERIES DEVELOPMENT
102.
TUMAINI ORPHANS AND VULNERABLE CHILDREN CENTRE
103.
UMOJA WA DOUYA NA MAKANGAWE (UDOMA)
104.
UMOJA WA MADEREVA WA MABASI TANZANIA (UWAMATA)
105.
WATOTO CARE ORGANIZATION (WACO)
106.
WOMEN AND YOUTH ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVE (WOYEDE)
107.
WOMEN DEVELOPNMENT AND GENDER
108.
SAIDIA JAMII YA WAZEE KAGERA SAJAWAKA)
109.
UKIMWI ORPHANS ASSISTANCE (UKOA)
|
Imetolewa na,
MSAJILI
WA NGOs
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO
YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
29 Machi, 2016
|
0 comments:
Post a Comment