Friday, 8 January 2016

        Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (kulia) akikabidhiwa     rasimi Taarifa ya Utekelezaji wa Wizara kwa Kipindi cha Mwaka 2005-2015 kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa  Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb) eneo la Magogoni Dar es salaam tarehe   8/1/2016 
          Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (kulia) akisikiliza kwa makini maneno machche kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb) eneo la Magogoni Dar es salaam tarehe 8/1/2016.
     Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (kulia) pamoja na aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb) ,Kaimu katibu Mkuu Bwana Marcel Katemba pamoja na Wakurugenzi wengine kwenye makabidhiano yaliyo fanyika leo  Jijini Daressalaam,tarehe8/1/2016.
     Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (kulia) akitoa shukrani za dhati  baada ya kukabidhiwa rasmi Taarifa ya Utekelezaji wa Wizara kwa Kipindi cha Mwaka 2005-2015 kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb) eneo la Magogoni Dar es salaam tarehe 8/1/2016.


0 comments:

Post a Comment