Thursday, November 19, 2015
TAARIFA KWA UMMA
Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anamjulisha Rais/ Gavana wa Shirika la AFRICAN POOR AND PATIENT ORGANIZATION (APAPO) Bw. Kapeele Sichunga na umma kwa ujumla kuwa anatakiwa kuri- poti Ofisi ya Msajili wa NGOs Makao Makuu ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto eneo la Kivukoni Dar es salaam kabla ya tarehe 30/11/2015 akiwa na cheti cha usajili wa APAPO. Aidha, yeyote ambaye anafahamu mahali alipo mtajwa hapo juu am- warifu Msajili kwa baruapepe:ps@mcdgc.go.tz au namba ya Simu 022 2137679/ 2132526,0754391942Imetolewa na:MSAJILI WA NGOs
0 comments:
Post a Comment